WEMA, DIAMOND WACHAFUA HALI YA HEWA

JAMBO limezua jambo. Pamoja na kuanza kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya fainali za kuwania Tuzo za MTV Africa (MAMA), mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na baby wake, Wema Isaac Sepetu wamechafua hali ya hewa, Ijumaa Wikienda lilikuwa linarandaranda ndani ya nyumba.

MTITU AGOMA KUMCHEZESHA MKEWE MUVI

 
BOSI wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu amefunguka kuwa kamwe hatamchezesha mkewe muvi kwa madai kuwa anaogopa vishawishi vya kusalitiwa.

KILICHOMUUA KUMBIANA...

KWELI kifo hakina huruma! Msemo huu umetimia juzi kufuatia kifo cha ghafla cha mwigizaji na mwongozaji wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana (38) kilichotokea akiwa njiani kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam baada ya kuugua.

SANDRA: WASANII TUMRUDIE MUNGU

 
Msanii wa filamu Bongo, Salma Salmin ‘Sandra’ akilia kwa huzuni baada ya kifo cha Adam Kuambiana.

KUFUATIA kifo cha msanii mkongwe wa filamu Bongo, Adam Kuambiana, msanii mwenzake, Salma Salmin ‘Sandra’ amewataka wasanii kubadili mfumo wa maisha na kumrudia Mungu.

HUYU RECHO NI TATIZO!

 
 Msanii na Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ akifanya vitu vyake jukwaani.

Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ ametia fora baada ya kutinga kipensi kilichoonesha sawia maungo yake nyeti.

ISABELA HAMNAZO

Mbovumbovu za staa! Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi alivyo hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti nje bila kujali watu waliokuwa wakimshangaa.

SAJENT ATINGA NA KIVAZI CHA KLABU KWENYE KITCHEN PARTY


FUNDI NGUO AMCHEFUA DAVINA


STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amechefuliwa vibaya na fundi wa nguo kwa kumcheleweshea nguo ya sare na kumfanya ashindwe kuivaa kwenye shughuli ya msanii mwenzake, Vanitha Omari.

AIBU! Kijana aumbuka baada ya kulala na makahaba wawili kwa wakati mmoja…wamzidi Nguvu, apoteza fahamu.


Mwanaume  mmoja  ambaye  ni  muokota  chupa  maarufu  aliyetambuliwa  kwa  jina  moja  la  Hamad  anadaiwa  kunusurika  kufa  katika  nyumba  moja  ya  kulala  wageni  iliyoko  eneo  la  Manzese  jijini  Dar  kufuatia  kuthubutu  kwake  kufanya  ngono  na  makahaba  wawili  kwa  pamoja…..
Kwa  mujibu  wa  mashuhuda  wa  tukio  hilo, inaelezwa  kwamba  mara  baada  ya  Hamad  kujipatia  pato  lake  baada  ya  kuuza  chupa  za  plastiki,alikwenda  kuwanunua  makahaba  hao  na  kuwataka  wakafanye  ngono  shirikishi…..
kahaba

Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni! Ngoma za Vigodoro Chanzo


Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

KWA WAKUBWA TU, KISERENGETI BOY KIMEVUJISHA PICHA ZA KWICHIKWICHI ZA SHUGA MAMY!! TAZAMA HAPA LIVE BILA KING'AMUZI KIKILA UTAMU


BOFYA HAPA CHINI
MMH

MWILI WA KUAMBIANA WAHIFADHIWA MUHIMBILI, VILIO VYATAWALA!

Mwili wa Marehemu Adam Kuambia uknaiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana.

ATLETICO MADRID BINGWA LA LIGA

 
 Wachezaji wa Atletico Madrid wakimnyanyua juu kocha wao Diego Simeone baada ya kutwaa ubingwa.
TIMU ya Atletico Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha pointi 90 wakati Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na Real Madrid ambao wamemaliza wakiwa nafasi ya tatu. Mara ya mwisho kutwaa kombe hilo ilikuwa 1996!

ARSENAL BINGWA FA, NI BAADA YA MIAKA 9 BILA KOMBE!

 
Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa Wembley usiku huu.

HUYU REHEMA FABIAN MAJANGA,ATUPIA PICHA ZA NUSU UTUPU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII


MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian
back to top