MANGE KIMAMBI: ANGALIA FAMILIA YA DADA HUYU WA KITANZANIA AISHIYE MAREKANI AKIWA BEACH NA MUME WAKE PAMOJA WATOTO WAKE!

Haya madira yaliishaje faster??? ningejua ningetengeza mengiiiii....lol
Yanakuja tena soon, just in time for summer...
Today we took the kids to the beach.... Yani weekends we try to do something nice as a family
maana weekdays , daddy hashikiki na mommy yupo up and down na Bongolicious....
AAWWWW, MY CLIQUE, LOVE 'EM BAD....
@ The beach today....
My baby....
My boyz....I'm Blessed....
Hahaha, hapo nipo instagram,,,,hehehehhhe....
Time to relax///
Mwanamke tumbo flat wakati sijui hata gym ipo corner gani....
nikienda Gym je? nahisi ntapata 6 pack in 2 months...ehhehehehe....
Natamani niende gym nipate 6 pack, ila uvivuuuuuuuuu....
hehehhe,Loser....lol..
Thank you Cassie for taking these beautiful photos....ananunaje sasa sometimes,
maana mamake napendaje picha???
Body like wooooh!!!!lol...
Guys mkisikia kuna auditions za music videos holla at your girl,
maana  nipo fit sasa....hehehehhehehe
Heheehhehe, so this photo drove people crazy on instagram....lol...
Sasa at the beach men were staring at me mpaka mume wangu akapata hasira,
Adhabu yangu eti siruhusiwi kwenda beach without him .....
uwiiii balaaaaa.......Nkamwambia mbona mawivu kama mwanaume wa kibongo???
hhahhahaha
Aaaawwww, my clique, love them.....
Kuna mtu kanitumia message jamani mbona hujaweka picha za Cassie kwenye swimsuit akiwa kasimama???
i was like unataka babake apande ndege aje kumchukua mwanae ama??? hehehehhehe
hehehhehehehe, alinibebajeee..... mpare na kujua kote kuswim, huniingizi baharini ng'oooo....
nauza sura hapo mwanzo mwanzo basi...lol...
mume wangu ananiulizaga why siingia namwmabia kuna chunusi humo na majini kibao...
Anachekajeee
NAOMBENI KUCHUKUA NAFASI HII KUTANGAZA RASMI
nia ya kugombea ubunge mwaka 2015 kwa ticket ya Chama changu kipenzi cha
CCM....... Ila naombeni ushari nigombee jimbo gani??
tafadhali nichagulieni jimbo la Dar, mikoani siwezi maana wananchi wataniona wakati wa kampeni tu alafu ntakuwa Dar....
Haya kwa pale Dar jimbo gani??
nichagulieni jimbo la kishua ambalo mpinzani wangu akitaka kutumia hizi picha kuniumiza wananchi wamwambie
hawadanganyikiiii, wamechoka kuongozwa na vitambia wanataka wanawake wenye kisomo na exposure....uwiiiiiii
Kama sio jimbo je ningembee UVCCM au????
Ila inabidi fans wangu wooooooooooooote kwanza siku nikienda kuchukua fomu mje maelfu na maelfu tuwaonyeshe we mean business....
Alafu muwe mnaenda house to house with me kuniombea kura....
IM VERY SERIOUS BY THE WAY.....
Future Mh......

back to top