Msanii na Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ akifanya vitu vyake jukwaani.
Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ ametia fora baada ya kutinga kipensi kilichoonesha sawia maungo yake nyeti.
...Akizidi kufanya yake.
Ishu hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo,
Dar ambapo kulikuwa na kinyang’anyiro cha kumsaka mlimbwende wa Chuo cha
Ustawi wa Jamii kilichopo Dar huku Recho akiwa mtumbuizaji.Ijumaa Wikienda lilipomfuata kutaka kujua kulikoni ‘kutokelezea’ mbele za watu na kipisi hicho cha kipensi hakuwa na jibu.