Wachezaji wa Atletico Madrid wakimnyanyua juu kocha wao Diego Simeone baada ya kutwaa ubingwa.
TIMU ya Atletico
Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Barcelona
kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha pointi 90 wakati
Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na Real Madrid ambao wamemaliza
wakiwa nafasi ya tatu. Mara ya mwisho kutwaa kombe hilo ilikuwa 1996!