Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni! Ngoma za Vigodoro Chanzo


Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

UNYAMA wa kutisha!...MUME AFYEKA NYETI (UKE) WA MKEWE

UNYAMA wa kutisha! Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri, Risasi Jumamosi lina simulizi hii ya kusikitisha. Tukio hilo lilitanguliwa na kumpiga mkewe huyo na kipande cha nondo kichwani hali iliyosababisha apoteze fahamu papo hapo na kutekeleza azma yake.
Bwana Gasto Edward na mkewe ambaye anadaiwa kumkata nyeti zake.

NECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7


NECTA imetoa mwongozo wa matumizi ya viwango vya Ufaulu (Aprili 2014) ambao umesambwazwa katika shule zote ze sekondari kupitia kwa Maafisa Elimu wa Mikoa. Kwa mujibu wa mwongozo huo Madaraja ya ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014 yatapangwa kwa kutumia mfumo uliooneshwa kwenye ukurasa wa 8 wa mwongozo huo ambao ni:

NJEMBA AZAMIA MKUTANO WA UKAWA MORO, ASHUSHIWA KICHAPO KIKALI

LISSU AIBUA MAKUBWA:SEREKALI ITUELEZE KWANINI WAASISI SITA WA MUUNGANO WALIUWAWA NA KUZIKWA KABURI MOJA

Serikali imetakiwa kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar.
Akiwasilisha maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), msemaji wake, Tundu Lissu aliitaka Serikali kueleza waasisi hao walifanya makosa gani.

VIDOKEZO VINAVYOWEZA KUKUPA MAFANIKIO

 
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Dk. Reginald Mengi.
KILA mara nimekuwa nikiwaeleza watu wangu wa karibu kuwa maisha yako ya baadaye yanaanza na kile unachokifanya leo. Kama wewe unatamani maisha ya kitajiri, basi msingi wake unakutegemea jinsi utakavyoanza kuujenga hivi sasa.

DAKTARI MWANZA AFIA GESTI DAR

MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wageni ‘gesti’ ijulikanayo kwa jina la Nesta iliyopo Ubungo NHC wilayani Kinondoni jijini Dar.

KIONGOZI CCM AUAWA KWA SHOKA!

KIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Shina Namba 30, Kigamboni Kisiwani jijini Dar, Bernadetha Shabani (53) amefariki dunia baada ya kupigwa shoka la kichwa na anayedaiwa kuwa ni mpangaji wake aliyefahamika kwa jina la Shija Ng’waya (33).

MWILI WA BALOZI FLOSSY WAAGWA JIJINI DAR

 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu,Flossy Gomile-Chidyaonga.

MAJINA YA WALIOMALIZA FORM SIX MWAKA 2014 WANAOTAKIWA KWENDA KURIPOTI JESHINI KWA MAFUNZO HAYA HAPA


UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.

P. DIDDY ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA CHUO KIKUU CHA HOWARD

 
 Ni furaha tupu siku P. Diddy alipotunukiwa shahada ya heshima katika Chuo Kikuu cha Howard jana jijini Washington DC.

TGNP MTANDAO YACHAMBUA BAJETI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI‏

Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari leo.
Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana.

HAPPY MOTHER'S DAY!

It is impossible to define the word "Mother". She is an irreplaceable person in a child's life. She is kind, compassionate, caring, wise and guides her child to become the best person he/she can be. This is our way of saying thank you to all the mothers in the world.


MADUKA DDC KARIAKOO YAWAKA MOTO


 
 Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka moto!

HII NDIO LIST MPYA YA MATAJIRI AFRIKA. WATANZANIA WAPO WANNE. ICHEKI HAPA

Mtandao wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.


1

NI ZAIDI YA UNYAMA!!..AZALIA KWENYE NDOO, APIGWA PINGU!

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo kisha kichanga kukitupa chooni.
Hadija Mohammed, anayetuhumia kukitupa kichanga baada ya kuzaliwa.

MZUNGU WA TINDIKALI ZENJI...AANIKA MAZITO

MMOJA wa wasichana wawili raia wa Uingereza waliomwagiwa tindikali na watu wawili ambao bado hawajajulikana mjini Zanzibar Agosti 7 mwaka jana, ameibuka na kuliambia gazeti la Daily Mail la nchini humo jinsi tukio hilo lilivyotokea.

TANKI LA MAFUTA LALIPUKA NA KUSABABISHA ADHA KUBWA KWA WASAFIRI SHELUI, SINGIDA‏

5

MAJONZI MAZITO IKULU

MAJONZI mazito yameikumba Ofisi ya Rais, ikulu jijini Dar es Salaam kufuatia kutokea kwa vifo viwili vya watumishi wa ofisi hiyo wiki iliyopita.

Picha za mazishi ya sheikh Ilunga Hassan Kapungu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana.....Mazishi yake yalikuwa ni ya kihistoria, mchanga wa kaburi umefukiwa kwa mikono badala ya jembe

back to top