Mwigizaji Bongo Movies, Husna Idd ‘Sajent’ (kushoto) akiwa na Shilole.
Sajent alipoingia ukumbini aliwafanya watu wote kumgeukia huku baadhi wakihoji namna ambavyo wazazi wa biharusi watamtathmini.Hata hivyo, mwenyewe hakujali kwani aliingia ameongozana na msanii mwenzake, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye walishikana kama mtu na matroni wake.