MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Picha
hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya
mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa
kumpa za chembe.
Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram.
“Huwezi
kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii
katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.