Mwanaume
mmoja ambaye ni muokota chupa maarufu aliyetambuliwa kwa jina
moja la Hamad anadaiwa kunusurika kufa katika nyumba moja ya
kulala wageni iliyoko eneo la Manzese jijini Dar kufuatia
kuthubutu kwake kufanya ngono na makahaba wawili kwa pamoja…..
Kwa
mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inaelezwa kwamba mara baada
ya Hamad kujipatia pato lake baada ya kuuza chupa za
plastiki,alikwenda kuwanunua makahaba hao na kuwataka wakafanye
ngono shirikishi…..
“Hawa
makahaba kazi yao ni kuuza miili,walipomuona amekwenda na pesa
nzuri wakamkubalia,kumbe huyu bwana kula yake ni ndogo, mwilini
kwake kumejaa gongo tu na wala hana chakula cha
kutosha.Walipokuwa chumbani wanawake hawa walimzidi nguvu
akapoteza fahamu” Alisema shuhuda
Aliongeza
kwamba makahaba hao walikuwa na utu, baada ya kumuona hajiwezi
walimtoa chumbani na kumpeleka uwani ambako walimmwagia maji
mpaka akazinduka….
Hata
hivyo inaelezwa kwamba, baada ya kurejewa na nguvu kama
kawaida, Hamad alitaka tena kuingia chumbani na warembo hao
ambao walimkatalia na kutishia kumtelekeza akizingua tena….