Jamani nisaidieni nifanyaje maana kila
siku nakuta sms za mapenzi kwny simu ya mume wngu. Amemsevu rafiki yangu
jina lingine baada kupiga simu nikagundua ni namba ya rafiki yangu
kipenzi tena wa Karibu Kabisa, Hapa Nimekosa Pozi Kabisa sijui Nianzie
wapi na Niishie wapi Kibaya zaidi nilivyozidi kuchunguza nimekuta na
picha za utupu za rafiki yangu huyo kwenye simu ya mume wangu
akimuonesha jinsi alivyoumbika...
Naomba ushauri
KUMPATIA USHAURI BOFYA HAPO CHINI