INATISHA...ANGALIA PICHA ZA UFUKUAJI WA MTU ALIYEZIKWA HAI MKOANI MBEYA..

 
SHUGHULI ZA UFUKUAJI ZAANZA CHINI YA USIMAMIZI WA JESHI LA POLISI
 
JUHUDI ZA KUENDELEA KUUFUKUA MWILI WA ALIEZIKWA HAI ZAENDELEA
 
NI KAZI NI NZITO NA INAHITAJI UVUMILIVU
 
MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA
 
MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA
 
MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI
 
KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI
 
MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA
 
NDUGU WAKIWA NA SIMANZI
MOJA YA WANAUSALAMA AKIWASHUKURU NDUGU KWA UVUMILIVU WALIYOUONYESHA KATIKA MSIBA HUU MZITO
 
ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA
SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA
SHUGHULI YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA
back to top