Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha
DTV, Peniela Mwingilwa ‘Penny’, ambaye ni mpenzi wa mkali wa Bon- go
Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amesema yupo tayari kuchangia map- enzi na
msichana mwingine yeyote ambaye atachukuliwa na mwanaume huyo anayem-
penda.
Kama Diamond anaona kuna msicha- na mwingine wa kutoka naye na kwake hilo linampa furaha, basi mimi sina matatizo kwa sababu ninataka awe na furaha, nitaendelea kuwa naye,” alisema Penny.
Peniela Mwingilwa ‘Penny’.
Penny, chaguo la mama mzazi wa staa huyo
wa kibao cha My Number One, amesema maneno hayo, yanayotafsiriwa kama
yupo tayari kuchangia mapenzi na hasimu wake, Wema Sepetu ambaye
amerejesha uhu- siano wake wa kimapenzi na mwimbaji huyo mpenda
vidosho.“Ninampenda Diamond na sitaki kum- poteza. Nia yangu ni kumuona
akiwa na furaha.
Kama Diamond anaona kuna msicha- na mwingine wa kutoka naye na kwake hilo linampa furaha, basi mimi sina matatizo kwa sababu ninataka awe na furaha, nitaendelea kuwa naye,” alisema Penny.
Kumekuwa na habari zisizo shaka kwamba
Diamond na Wema wamerejesha uhusiano wao na hivi karibuni walitupia
picha katika mitandao ya kijamii zilizowaonyesha wawili hao wakiwa
katika mapozi ya kimahaba huko Ughaibuni.Ingawa bado Diamond anatoka na
Penny, lakini kwa siku za karibuni amekuwa karibu zaidi na mrembo huyo
aliyetwaa taji la Miss Tanzania mwaka 2006.