Capristo akipozi kupigwa picha na Ozil ambaye alionekana kufurahia kufanya barabarani Jijni London.
KIUNGO Mesut Ozil amekuwa akiteka vichwa vya
habari tangu atue Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 42.5 kutoka Real
Madrid, lakini anaonekana kuwekwa akili mno na mpenzi wake, mlimbwende
Mandy Capristo. Nyota huyo wa Ujerumani aliyeisaidia Arsenal kurejesha
makali yake katika Ligi Kuu England tangu atue Emirates msimu huu,
Capristo mwenye umri wa miaka 23, ni bonge la supa staa nchini kwao
Ujerumani na kwa sasa ni msanii wa kujitegemea baada ya kujitoa katika
bendi ya wasichana wenzake, Monrose, lakini Ozil hawezi kuimba mbele ya
watu.
...Capristo akipozi kupigwa picha na Ozil.
...Ozil na Capristo wakirejea ndani baada ya kumaliza kupigana picha.
Arsenal inamenyana na Liverpool Jumamosi ya leo ikiwa na kikosi
chake kamili wakiwemo wapachika mabao hatari, Daniel Sturridge na Luis
Suarez wamewasili Emirates.