WAPENZI WAFARIKI DUNIA. ** BAADA YA KUJIRUSHA MBELE YA TRENI
Unaweza kujiuliza kitu gani kinaweza kukutokea hadi ukafikia level ya
kujitosa mbele ya treni wewe na mpenzi wako kwa lengo la kujiua. Hili
ni tukio la kusikitisha sana lenye mafunzo ndani yake.Binti mdogo mwenye miaka 21 na mpenzi wake mwenye miaka 25, wameamua kukatisha maisha yao na kuacha note yenye maneno
“Two great people are going to paradise”.Kisa chote hiki kinatokana na
mama wa binti Ariana O’Neal kukataa mapenzi ya hawa wawili.
David na Ariana walikuwa wanaishi jijini New York, katika mapenzi yao
waliwai pia kukamatwa na polisi kwa kuhusuka na wizi wa vito kutoka
kwenye duka la kuuza vito.