RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA VIETNAM NCHINI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Vietnam aliyemaliza muda
wake wa kufanya kazi nchini Mhe Nguyen Duy Thien baada ya kuagana naye
Ikulu jijini Dar es salaam jana.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimuaga Balozi wa Vietnam aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi
nchini Mhe Nguyen Duy Thien Ikulu jijini Dar es salaam jana. PICHA NA
IKULU.