"CHADEMA WANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU"...MWIGULU NCHEMBA

Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe. 1) Leo (Alhamisi) wameibuka na kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha yangu. Hivi mimi nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza siasa, na yeye ndio anamaliza, in no way he is a threat to me.


 I do not find him a competitor and he cant halt my political ambitions. Wengine wanadiriki kumpima slaa namimi, huyu sio saizi yangu na yeye anajua, hana kipaji and and he is outdated.


Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO 
10 YEARS FROM NOW? 


KAMA SASA TU CHADEMA NZIMA KUANZIA MAKAO MAKUU MPAKA VIJIWEN KWAO agenda ni MWIGULU, MWIGULU.? YOU PEOPLE TAIFA HILI LINA MASWALA MENGI YA MHIMU, STOP MAKING MWIGULU AN AGENDA FOR YOUR PARTY.


2) Majuzi hivi bila aibu mkasema Mwigulu anahusika na kulipua bomu mkutano wenu,kisa Nilikwepo Arusha. May 5 pia nikiwa Ethiopia kuna bomu lililipuliwa hapohapo ars mbona hamlisemi nani alilipua hilo.

 Zote hizi ni jitihada za kufunika uovu wenu mkidhani kwa kuwa nawasema kuhusu ugaidi wenu basi mkigeuza kibao nitaacha. IT IS NEITHER MY NATURE NOR MY CHARACTER TO BE AFRAID. 

This won't stop me, subirini kesi ianze watanzania watawajua cos mtu wenu alikiri kila kitu ninyi mnacheza na akili za watu tu kwa propaganda kwa manufaa ya kisiasa. 

Eti anavaa kofia ya china na bomu lilitengenezewa china hivyo anaweza kuwa mhusika. What a myopic statement? Mbona simu za kichina mnazo? Zinauhusiano na mabomu?

3) Red Brigade nayo mmeshindwa kusema kwanini MKT wenu alisema hamtategemea polisi wala Jeshi la wananchi? Hii ndio tofauti na greenguard, badala yake hoja imekuwa Mwigulu mpaka mnatengeneza na picha za kuunga.

4) Hata mkanda ule mnasema nilimpanga mtu arekodi mazungumzo, sawa, je nilimpagia na kiongozi wenu aseme yale aliyoyasema? Au hata hamjui alisema nini? Cos alishakiri yote kwenye maelezo yake polisi, je nilimpanga naye aseme yale ili arekodiwe? 


Hivi vijana wa chadema nani kawaroga? Mpaka you a missing even such a plain fact. Be informed that God has a complete plan of my life. You can not tarnish or halt it. I will move from Glory to Glory. 

TUTAHESHIMIANA TU.
back to top