MAJANGA!!!...MSICHANA AKAMATWA KWA KUFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA TISA..!!

                                                         Mtuhumiwa Jalissa D. Baez
Jalissa D. Baez mwenye umri wa miaka 19 mwangalizi wa watoto huko Berks Pennyslvania,anatuhumiwa kwa kesi ya kufanya mapenzi na mtoto wa kiume mwenye miaka 9 ambaye aliajiliwa kumwangalia.
Jalissa amerudia mara nyingi kulala na mtoto huyo kwa miezi kadhaa,akimlazimisha kufanya nae mapenzi.Pia alimfanya mtoto huyo ahaidi kutosema siri hiyo.
Jalisa aliajiriwa na baba wa mtoto huyo kumwangalia mida ya jioni wakati yeye yuko kazini.Jalissa alimlazimisha mtoto huyo katika mazigira tofauti tofauti kati ya machi na juni wakati yuko peke yake akimuangalia. Alimnyamazisha mtoto huyo kwa miezi akimwambia kwamba kinachotendeka ni siri na ataingia matatizoni kama atamwambia mtu yeyote,alisema mpelelezi  Michael J. gombar.
Alipohojiwa na polisi , Jalissa alikiri kwamba ni kweli alikuwa anafanya mapenzi na mtoto huyo wa miaka 9 kuanzia machi hadi june mwaka jana.
Baba wa mtoto huyo aliwataarifu polisi ambao walianza upelelezi. baada ya muda wa miezi sita ambao waliata kibali cha kumkamata katika nyumba ya mama yake Jalissa Baez iliyoko block ya 300 mtaa wa Milller mwezi uliopita ambapo amekumbana na kesi zingine ikiwemo kulazimisha  mapenzi kwa mtoto, shambulio la aibu,kuhatarisha ustawi wa watoto na kujidhalilisha.
back to top