Hizi ni tweets za leo asubuhi kutoka kwa mbunge Halima Mdee ambazo ni halali yako kuzisoma.
Mbunge wa jimbo la Kawe Halima Mdee leo asubuhi alikuwa ana-tweet kuhusu ishu za muungano. Hizi hapa ni caption za hizo tweets katika mfululizo wa tweet ya kwanza hadi ya mwisho.