Hili ndilo gari jipya la thamani analoendesha Irene Uwoya.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA
Irene Uwoya au unaweza kumuita Mrs Ndikumana na pia ni mama Krish, hivi karibuni ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambayo itaoneka @CloudsTV.Lakini hapa nakupa nafasi uone gari kali ambalo anaendesha Irene Uwoya hivi sasa. Ukiliangalia kwa nje ni gari classic,expensive na pia inamuonekano na rangi nzuri. Hivi sasa Uwoya anaendesha gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic. Japokuwa gharama imebakia kuwa siri yake, ukicheki kwenye mtandao wa Mercedes Benz US ndinga kama hii ikiwa mpya ina-cost $ 95,000.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
back to top