Diamond ni miongoni mwa waliokwama Nairobi, picha alizopost na za mlipuko ziko hapa

2

1
2
1
Diamond Platnums akiwa ni miongoni wa abiria waliokwama kutokana na uwanja huo kulipuliwa, ameiambia kiuyahaki.blogspot.com kwamba imebidi abiria wapelekwe hotelini na kuambiwa inawezekana ndege zikaanza kuruka saa moja au saa mbili usiku leo ambapo taarifa walizozisikia ni kwamba ni shambulio la bomu.
Bado tunaendelea kuwa karibu na vyanzo ili kupata info zaidi lakini kwa sasa ni kwamba imetangazwa abiria wako salama ambapo ndege zote zilizokua zinatua Nairobi zimeelekezwa kutua Mombasa.
back to top