BREAKING NEWS: KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI FREEMAN MBOWE AKAMATWA NA JESHI LA POLISI


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa  Chadema Taifa na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi mkali sana wa Polisi.
utaendelea kuwafahamisha wananchi kila kitakochoendelea na tunaomba watanzania Muwe watulivu.
back to top