TRAILER YA MOVIE YA MKWAWA






Mkwawa-Poster1
Hii movie imeingia kwenye category ya AFDA kugombania award as best documentary. Kila kitu humu kinazungumzia story ya mkwawa iki base kwenye historia ya vitabu.
back to top