Akiongea kwa jazba na hasira na
wanachi waliopo eneo la tukio,Lema ameitumu serikali kwa mara
nyingine na kudai kuwa uzembe wa viongozi ndo chanzo cha
matukio kama haya....
Hotuba fupi na nasaha zake
zilikuwa zikisikika moja kwa moja kupitia Radio maria kabla ya
kituo hicho kuamua kukatisha nasaha zake.....
Haijafahamika mara moja sababu za kukatishwa kwa hotuba yake ...
Bado tunasubiri taarifa rasmi ya vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu tukio hilo