HII NDIO VIDEO YA TUKIO ZIMA LA MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA KWENYE KANISA KATOLIKI JIJINI ARUSHA, MMOJA AFARIKI 60 WAJERUHIWA.

 
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 60 wamejeruhiwa kati yao 42 hali zao ni mbaya baada ya kutokea mlipuko kwenye sherehe za Uzinduzi wa kanisa katoriki parokia ya mtakatifu Yosefu mfanyakazi -Olasiti jijini Arusha.
ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPO CHINI....

back to top