Fahamu hiki alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee.

Baada ya Lady Jay Dee kutangaza siku ya kuachia album yake mpya sasa #Fahamu hiki alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee
"Nitakuwa na @JideJaydee kwenye show yake ya miaka 13 ya LADY JD, Kwa NGUVU zangu zote, AKILI zangu zote na UWEZO wangu wote, KARIBUNI SANA"
back to top