Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya 'Confucius' ya
Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo ni maalumu kwa ajili ya kufundishia Lugha
na Tamaduni za Kichina. Uzinduzi huo umefanyika jana Chuo Kikuu cha
Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya Lugha ya Kichina, mmoja kati
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Jamillah Dauda, wakati wa hafla
ya uzinduzi wa Taasisi ya 'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo
ni maalumu kwa ajili ya kufundishia Lugha na Tamaduni za Kichina.
Uzinduzi huo umefanyika jana Chuo Kikuu cha Dodoma. Kushoto ni Makamu
Mkuu wa Chuo cha Dodoma, Prof. Idrs Kikula.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipongezana na Balozi wa China nchini Tanzania, Lu Youqing, baada ya
kuzindua rasmi Taasisi ya 'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo
ni maalumu kwa ajili ya kufundishia Lugha na Tamaduni za Kichina.
Uzinduzi huo umefanyika jana Chuo Kikuu cha Dodoma. Kulia ni Makamu Mkuu
wa Chuo cha Dodoma, Prof. Idrs Kikula.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipata maelezo kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma, Prof. Idris
Kikula, wakati akitembele kukagua majengo ya Taasisi ya 'Confucius' ya
Chuo Kikuu cha Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipata maelezo kuhusu Lugha na Tamaduni za Kichina, kutoka kwa Mkuu wa
Taasisi ya 'Confucius', Zheng Xueyu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Taasisi hiyo ya Chuo Kikuu cha Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia michoro ya picha zinazochorwa na wanafunzi wa Taasisi ya
Confucius.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal;, akiagana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka eneo hilo baada ya uzinduzi rasmi.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akitembelea kukagua ujenzi wa Chuo cha Afya kinachojengwa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na viongozi mbalimbali.
Picha ya pamoja.