BUSU SI UGOMVI......MAMBO YA KUIGA YATATUMALIZA
Hawa
jamaa nadhani wanahitaji "kupigwa pindi" la matumzi ya midomo
yao kuhusu "mabusu" ambayo ni mila tulizoridhi toka kwa
wenzetu..Kama hujui potezea....siyo lazima upige busu....usije ukamng'ata mwenzio bwana.!!!