MAAJABU....MTOTO ALIEZIKWA MZIMA NA KUFUKULIWA NA KUKUTWA MZIMA

Mama mmoja
nchini Nigeria ameamua kumzika mtoto wake akiwa hai. Baada ya taarifa kupatikana polisi walienda na kuamua kufukua. Baada ya kufukua walimkuta mtoto huyo na kumkimbiza hospitali aliposafishwa mtoto huyo alikutwa hai.
back to top