KILIMANJARO PREMIUM LAGER YATOA VIFAA KWA SIMBA NA YANGA.
Afisa
habari wa Simba Ezekiel Kamwaga kushoto akipokea vifaa vya michezo
kutoka kwa meneja wa bia Kilimanjaro George Kavishe pembeni akishuhudiwa
na mkurugenzi wa mashindano wa TFF Sadi Kawemba.
Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe hapa akitoa vifaa kwa katibu wa Yanga Laurence Mwalusako, vifaa ambavyo vimetolewa ni pamoja na soksi, shingad, gloves, jezi na vifaa mbalimbali vya mazoezi.