.
Oluchi the 30- year- old Victoria secret model ambae ni mama wa mtoto mmoja, aliolewa na Luci Orlandi ambae ni designer maarufu pia.
Mara nyingi wengi huwa wanaamini ndoa kama hizi haziwezi kudumu hata kwa mwaka mmoja lakini imekua tofauti na matarajio, huu ni mwaka wao wa nane toka wameoana na bado penzi lipo, ni kama wengi walivyodhani kwa Maria Carey na Nick Cannon.
.
.