

Tofauti
na wanaume, ambao wakimaliza baada ya dakika chache huwa na hamu ya
kutaka kuendelea tena hasa baada ya kuoga, wanawake wenyewe wakimaliza
wanahitaji kupumzika muda mrefu kidogo, yaani angalau siku 2, kabla ya
kuhitaji tena marudio ya mechi na hasa mechi yenyewe ikiwa nzito. So
mume usitake kila siku upewe!
2. Wanapenda Umalize ndani ya muda, Usizidishe muda!
Mume, elewa mkeo anapenda Map#nzi na wala hapendi "Roboti la Map#nzi", kwa hiyo ukiwa katika Game usitake Kumkomoa, na pia Usiwe Mchovu Kitandani!
3. Wengine hawapendi kuchezewa na kidole!
Duh, hapa unawezaona unamgusa maeneo nyeti anautoa mkono, au kama atakuachia basi mkono utabanwa, au kabla haujafanya mbwembwe sana anakuambia tayari muingize mzee mzima ndani, yuo tayari kumpokea!

Jaribu kuwa mtundu na mbunifu kiasi chakumuonjesha mambo mapya kila leo! Wake zenu wanapenda hivyo japo ataogopa kukueleza kwa baadi yao lakini usifanye mambo vile vile kila siku, uwe unaleta mambo mapya kila leo!
5.P#nzi Chai
Siku za Nyuma niliandika kuhusu penzi kabla ya kiu hochote asubuhi, elewa kuwa miongoni mwa wake zetu wanalipenda hili na usiku wake kama hatukucheza mechi zetu!
Kwa hayo machache natumaini waume mtayazingatia na kuyafanyia kazi ili map#nzi na ndoa zetu zizidi kuimarika!