
Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014.
Mwenyekiti
wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho akiongozwa kutoka
kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 11, 2014 bada ya kuahirisha
Bunge hilo.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la katiba, Mchungaji Christopher Mtikila akiongea na
simu wakati alipokuwa akitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma baada
yaBunge hilo kuahirishwa Machi 11, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge maalum la katiba na
naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuzi, Kaika Telele, Bungeni
Mjini Dodoma Machi 11, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka (kulia) na Dkt.
Charles Tizeba wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Machi 11, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba .
Kutoka kushoto ni John Shibuda, Riziki Lulida na Zabein Mhita.

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Pandu Kificho akifungua kikao cha semina mapema leo asubuhi.

Spika
wa Bunge,Mhe. Anna Makinda (kushoto) akijadilkiana jambo na Waziri
Mkuu,Mhe. Mizengo Pinda kulia na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Idd.

Mweyekiti wa kamati ya kanuni,Mhe. Prof. O. Mahalu akiwasilisa majumuisho ya kanuni leo asubuhi.



