Juzi Maraisa wa KiAfrica, Mabillionea,
Wafanya Biashara Matajiri, Wasomi na ndugu pia walipata fursa ya
kuhudhuria harusi ya mtoto wakike wakwanza wa Raisi Robert Mugabe aitwae
Bona.
Kwenye harusi hiyo wageni waliokadiliwa
kufika 4000 walipata pia fursa ya kuona Mjengo wa familia ya Mugabe
ambao ulikua mjengo wa siri kwa miaka mingi sana
Msemaji wa Raisi Mugabe anaejulikana kwa jina la George charamba amesema Nyumba hiyo ya Mugabe thamani yake ni zaidi ya Millioni 10 za kimarekani , ilitengenezwa kwa michango kutoka Zanu PF pamoja na wengine wasiojulikana
hizi ndio Picha chache za harusi io na pamoja na jumba ilo