STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amejikuta akikumbuka pete aliyovishwa na aliyekuwa mchumba wake, marehemu Saidi Banda ‘Max’ na kusema ataendelea kumuombea kwani alikuwa ni mwanaume aliyekuwa na malengo makubwa kwake.
Ruth Suka ‘Mainda’.
Mainda alifunguka hayo kupitia mtandao mmoja wa kijamii na kusema
kuwa kila akiziona picha za siku alipovishwa pete ya uchumba, anajikuta
akitokwa na machozi.“Miaka inakimbia sana miss u so much...! Kama ndoto vile, siku ile sitaki kuikumbuka ila kwa yote namshukuru Mungu.
| Add caption |