VIDEO: NORA AFUNGUKA KUHUSU KIPIGO ALICHOPIGWA NA RAY C...
Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C
amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye
kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video
ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na
kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za
uzushi tuu.