NIMECHOKA KUTEMBEA NA VIJANA WANADHARAU SANA, SASA NAHITAJI MZEE WA KUNITULIZA...!!
Unajua vijana wengi wa sikuhizi
wanadharau sana haswa pale unapomfuata na kumueleza hisia zako wanadhani
labda ni wao tu ndio wana haki ya kusema nakupenda na mwishowe
kukuchukulia malaya na huna thamani yoyote, ila watu wazima na maanisha
walio kula chumvi kidogo wanajua nini maana ya kupendwa..