MBEYA CITY NOMA....YAIPUNGUZA AZAM FC SPEED NDANI YA UWANJA WAO WA CHAMANZI
Team ya Mpira ya Mbeya City inazidi
kuonyesha makali baada ya kuwatuliza Speed Azam Fc Speed kwa kutoka nayo
Droo ya Mabao 3-3 leo katika uwanja wa Chamanzi , Mpaka dakika ya 85
Mbeya City ilikuwa inaongoza kwa mabao 3-2 ,ndipo Azam waliporudisha
nakufanya mchezo uishe kwa Droo.....Hawa Jamanii ni noma ...Endelezeni hivyo hivyo kuutoa usimba na yanga