MWANAMKE ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUKUTWA AKIWA UCHI HUKU AKIWA AMESHIKILIA KOPO LENYE KINYESI...!!
JESHI la Polisi wilayani Bunda, jana lililazimika kutumia
mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wenye hasira kali waliotaka
kumuua mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Cha Nyerere katika mamalaka ya
mji mdogo wa Bunda.
BOFYA HAPA KUISOMA HII HABARI KWA UNDANI