sisi tukiwa kama tovuti rasmi ya filamu Tanzania tungependa kupata maoni yako wewe mdau na mpenzi wa tasnia yetu hii, Je, wewe unalichukuliaje suala hili? Ni kweli haya madai yana maana na inabidi yafanyiwe kazi au wanafanya hivyo kama sehemu ya sanaa? Tupe maoni yako hapo chini mdau.
Unalizungumziaje suala la nguo fupi kwenye filamu?