Irene Uwoya ‘Mama Krrish’ akipata msosi wakati wa futari hiyo.
Aunt Ezekiel akiongea jamba na marafiki zake wakati wa futari.
Mcheza filamu mahiri Jacob Steven 'JB' akipata futari.
Yvonne Cherry 'Monalisa' akifurahia jambo wakati wa futari.
Chuchu Hans (kushoto) na Devota Mbaga wakipata msosi.
Kajala akiwa na mtoto wake Paula wakipata futari.
Aunt Ezekiel akiwa na marafiki zake.
Beautiful Onyinye Wema Sepetu akiwa na shosti wake Kajala katika futari hiyo.
Wema, Kajala na Sajenti katia pozi.
Kajala akiwa na Chuchu Hancs muda mfupi kabla ya kufuturu.
Kajala akiwa na mtoto wake katika picha ya pozi.
STAA mahiri wa filamu za Bongo, Aunt
Ezekiel jana alifunga dimba la kufuturisha kwa mastaa baada ya kuwaalika
watu mbalimbali nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar es Salaam, kwa
ajili ya kupata futari pamoja. Pichani juu ni baadhi ya taswira wakati
wa zoezi hilo.
(PICHA NA IMELDA MTEMA / GPL)
(PICHA NA IMELDA MTEMA / GPL)