
Huddah kupitia akaunti yake ya twitter amepost video yenye heading ‘Huddah loves su**king things’, na katika video hiyo mtoto huyo mzuri na aliyekuwa mshiriki wa Kenya katika The Chase anaonekana anailamba lollipop (kimtego sana) na kurudia mara nyingi kuwa anapenda kunyonya vitu.
Akiwa mbele ya kamera Huddah kaanza kwa kucheka kisha akajitambulisha na kusema anapenda kunyonya vitu kama hiyo lollipop aliyoishika….