Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa
akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika
uti wake wa mgongo na miguu.
Mwanaume huyo anatamani na anapenda kuwa mwanamke aliwaambia wazazi wake kuwa anapenda kuwa wa kike.
Piyah kwa kusisitiza hilo pindi alipotimiza miaka 15 alianza kununua
nguo za kike na kuzivaa na sasa anafanyiwa mpango wa kuanza tiba ya
kuwekewa homoni za kike ili awe mwanamke kamili