AIBU: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUMBUKA BAADA YA KUTUPIA PICHA YAKE YA UCHI FACEBOOK BILA KUJUA
Mwanafunzi
wa chuo kimoja hapa nchini ameambulia aibu ya mwaka baada ya
picha zake chafu kuvuja katika mtandao wa facebook wakati
"akichati" na darling wake.....Katika
mazungumzo yake na mpenzi wake, denti huyo alijikuta akikosea
kumtumia picha mpenzi wake na kujikuta akiiweka katika wall
yake huku ikisindikizwa na maneno matamu ya kimahaba...
"Sry kwa kuchelewa lov, netwrk inasumbua sana kutuma picha"
Ndani
ya dakika 2, post ya mrembo huyo ilijipatia comment kibao.Wapo
waliomkejeli kwa kumwambia "Asante love" huku wengine wakimpa
matusi ya nguoni....
Dakika chache baadaye, picha iliondolewa na akaifunga account yake....
Hili ni fundisho kwa dada zetu wasiojua thamani ya miili yao....
Kwa nini ujianike uchi wakati hata mitandao ya kijamii hujui kuitumia??