MAPACHA WANASWA LIVE WAKISAGANA,LAANA TUPU...!!
Ama kweli dunia imekaribia kwisha.
Wasichana wawili kulwa na doto,toka nitoke waishi kinyumba kiasi cha
kulivuruga tunda la mti wa katikati huku kulwa akijifanya mume na doto
akijifanya mke.Taarifa za kina zinasema walianza tabia hiyo mbaya katika hoteli moja ya kitalii iliyopo Bukoba mkoani Mara.
kwa mujibu wa mtoa habari wetu ambaye
alimwaga lundo la picha zinazoonyesha mapacha hao wa kike wakipeana
burudani mwanana kitandani alisema kuwa kazi yao kubwa ni uhudumu wa
hoteli na mara nyingi wamekuwa wakitimuliwa kutokana na kuoneana wivu
pindi mmoja anapopata bwana mwingine
"Awali ilikuwa haijulikani ni kwanini
walikuwa wakigombana sana pindi mmoja anapopata mwanaume,baadae ikaja
ikabumbuluka kwamba hawa wadada walikuwa wanajihusisha na mahusiano ya
kimapenzi ya jinsia moja yaani usagaji. Kulwa ambaye ni mwembamba ndiye
anamsaga doto ambaye ni mnene", Alisema mtoa habari wetu.
Alisema kuwa alifanikiwa kunasa picha za
ushahidi kupitia kamera ya Kulwa ambapo kulikuwa na picha nyingi chafu
zilizokuwa zikinyesha wanavyosasambuana na kusagana.
"Amini usiamini hawa ni ndugu
damu,yaani toka nitoke lakini wanapokuwa juu ya sita kwa sita,unaweza
kuamini ni mtu na mumewe. Ni balaa, kabila lao ni wahaya na wanaishi kwa
kuhamahama pindi wanapohisi kushtukiwa", Alisema mtoa habari huyo.
Hata hivyo ripota wetu anaendelea
kuwawinda mapacha hao ili kuzungumza nao juu ya tuhuma hizo chafu, GUMZO
LA JIJI linapinga vikali vitendo vya usagaji na ushoga na kuwaasa watu
wote wanaojihusisha na vitendo hivyo kuacha mara moja,!!!