Ney wa Mitego ambaye bado collabo yake na Diamond “Muziki gani”
inafanya vizuri, ameamua kukujuza kuhusu kitu kingine kutoka kwakwe. Ney
ametoa hiyo poster hapo chini ambayo inaweza kuwa ndiyo
official art cover ya ngoma hii inayokuja. Bado hajaweka wazi ni lini
atatoa hii ngoma, endelea ku-click to millardayo.com kwa ajili ya
updates za ngoma hii.
