Treni iendayo mwendo kasi imepata ajali huko northwestern Hispania
ambapo inaaminika watu 20 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa
kati ya abiria 200 waliokua wakisafiri nayo.
Moja ya mabehewa limeonekana likiwa linawaka moto na jingine kukatika
katikati kwenye eneo la ajali hiyo karibu na Santiago de Compostela
ambapo ilikua ikisafiri kuelekea Ferrol northwest Spain.