WEMA Sepetu ametengeneza kichwa cha habari akidai hajawahi kumsaliti
aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ enzi zile walipokuwa
wamezama kwenye dimbwi la mahabat.
Wema na Diamond enzi hizooo.
“Maisha yangu yote tangia nimeanza mapenzi na Nasibu…sikuwahi kuwa
unfaithful (msaliti). I used to be very faithful to him (nilikuwa
mwaminifu sana kwake) na tulikuwa tunapendana sana… nilikuwa
nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo,” alisema Wema.Mara kadhaa
Diamond amewahi kukaririwa katika vyombo vya habari akimtuhumu
mlimbwende huyo alikuwa akimsaliti pindi walipokuwa wapenzi. Tuwaachie
mambo yao! Wasituchoshe.