MUONEKANO WA JUKWAA NA SEHEMU YA KUUAGA MWILI WA ALBERT NGWEA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB

 Sehemu hii ndipo mwili wa marehemu Albert Mangweha  utawekwa hapa tayari ya kuanza zoezi zima la kumuaga.


Kwa wale mashabiki wa EAST Cost nadhani watakuwa wanamfahamu msanii huyu anajulikana kwa jina la PUFF G nae amekuja japo apate picha ya ukumbusho kidogo maana baadae  patakuwa na msongamano wa watu wengi sana.
DjChoka
back to top