Taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu
kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watahiniwa wa kidato cha nne imesomwa bungeni leo na mh.LUKUVI.
LUKUVI amesema sababu zilizosababisha wanafunzi wafeli ni upungufu wa
waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za
sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa na utaratibu mbovu wa baraza la mitihani uliotumika bila kuwashirikisha wadau wa elimu
Mh.
LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi
kwa kufuata STANDARDIZATIONS na CONTINOUS ASSESSMENTS. ...
Chanzo: Mpekuzi .