NEY WA MITEGO APOKEA KICHAPO KUTOKA KWA MASHABIKI HUKO MBAGALA ZAKHEN MARA BAADA YA KUMTUKANA CHID BENZ KUWA NI SHOGA.
Híki
ndicho kilichomponza Ney waMitego jioni katika show yake ya Mbagala
Zakhen ni; Aliposema Chid Benz katoboa pua au c ridhiki?
Na wavuta
sigara wote ni Matahira.Hapo ndipo raia
fans wa Chid benz na Wavuta fegi wakalianzisha.Palikuwa hapatosh amesepa
hana viatu na watu wameumia na kuibiwa.