“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi
tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO
MUCH”… Happy birthday Darling.”ameandika Diamond
Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.
Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:
“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much
hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate
ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life
is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I
wont forget this…thank u hubby.”
HAPPY BIRTHDAY PENNY.